Skip to main content
Skip to main content

SerikCounty ya Transoia imeongeza vifaa vya matibabu katika hospitali ya Michael Wamalwa kijana

  • | Citizen TV
    166 views
    Duration: 1:30
    Kutokana na ongezeko la idadi ya wagonjwa mahututi katika kaunti ya Trans Nzoia na maeneo jirani, Serikali ya kaunti hiyo imeongeza vifaa vya kushughulikia wagonjwa hao katika Hospitali ya Michael Wamalwa Kijana.