- 320 viewsDuration: 2:35Huduma za afya katika hospitali za umma jijini Mombasa zinatarajiwa kusimama kuanzia usiku wa manane baada ya chama cha madaktari kutangaza kuanza kwa mgomo rasmi kufuatia kumalizika kwa makataa ya siku saba. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya