Skip to main content
Skip to main content

Familia yalilia haki kufuatia kifo cha mtoto na mwanamke mjamzito katika Hospitali ya Mama Lucy

  • | NTV Video
    4,126 views
    Duration: 2:49
    Familia moja katika eneo la kayole jijini Nairobi, inadai haki kufuatia kifo cha mtoto na mwanamke mjamzito katika Hospitali ya Mama Lucy Kibaki. Viona Munai, mwenye umri wa miaka 28, aling’olewa jino kwenye hospitali hiyo wiki iliopita baada ya kufikishwa hospitalini kwa maumivu ya meno. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya