- 1,879 viewsDuration: 2:47Jioni ya leo serikali bado imesalia kimya kuhusiana na utumizi mbaya wa mamlaka katika idara ya usalama na ile ya uhamiaji kwa madai ya kutoa paspoti za Kenya kwa wapiganaji wa Sudan. Wizara hizi mbili bado hazijatoa taarifa yoyote hadi sasa, haswa kuhusiana na vyeti vya usafiri vilivyotolewa kwa wapiganaji wa RSF wa Sudan na hata raia wa Zimbwabwe.