Skip to main content
Skip to main content

Vurugu zatibuka ziara ya Rais Ruto huku akihimiza ushirikiano na ODM

  • | Citizen TV
    16,213 views
    Duration: 3:03
    Polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kutawanya kundi la vijana lililokuwa limezuia msafara wa rais William Ruto kwenye ziara yake maeneo bunge ya Dagoreti Kusini na Kazkazini, hapa Nairobi. Rais Ruto, akitumia ziara hiyo kupigia upatu ushirikiano wake na ODM huku akikosa upinzani kwa kile anasema ni kuendesha siasa za chuki na ukabila.