Skip to main content
Skip to main content

Sifuna na baadhi ya wabunge wanaounga mkono Linda Mwananchi wasusia mkutano wa wabunge wote wa ODM

  • | NTV Video
    3,423 views
    Duration: 2:47
    Katibu Mkuu wa ODM Edwin Sifuna, na baadhi ya wabunge wanaounga mkono mrengo wake wa Linda Mwananchi walisusia mkutano wa wabunge wote wa ODM, uliofanyika leo katika majengo ya Bunge. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya