Skip to main content
Skip to main content

Mazishi ya pamoja ya watoto waliouawa shuleni katika shambulizi la bomu Minab Iran

  • | BBC Swahili
    30,475 views
    Duration: 1:19
    Mamia ya waombolezaji walijitokeza kwa wingi mjini Minab Iran, wakibeba majeneza yenye picha za watoto wadogo, wakiwemo wasichana wa shule waliouawa katika shambulio lililoripotiwa tarehe 28 Februari. Iran inasema takriban watu 170, wakiwemo watoto, waliuawa na wengine zaidi ya 90 kujeruhiwa. Serikali ya Iran imewalaumu Marekani na Israeli, lakini hakuna moja kati yao aliyokiri kutekeleza shambulizi hilo. - - - #bbcswahili #foryou #iran #donaldtrump #israel #watoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw