Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi wa kaunti ya Migori wapinga mapendekezo ya mswada unao pendekeza ajira ya kandarasi bada

  • | Citizen TV
    116 views
    Duration: 1:53
    Muungano ya wafanyikazi wa Serikali tawi la migori wametofautiana na pendekezo Serikali kuu ya kubadilisha mfumo wa ajira Kutoka Kwa ajira ya kudumu hadi kandarasi ya muda mfupi. Wakizungumza katika mji wa Migori wafanyakazi hao wameeleza kuwa baadhi Yao watapoteza fidia zao za kustaafu .Wafanyikazi hao wanaeleza kuwa hawatakubali mapendekezo kama hayo yawekwe kuwa Sheria kwani yatadunisha hadhi Yao baada ya kufanya kazi kwa miaka mingi....