Tanzania yazindua kampeni ya kutokomeza ukatili na mauaji dhidi ya watoto, wanawake

  • | VOA Swahili
    291 views
    Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima wa Tanzania anaeleza nini kitakachowezesha kutokomeza ukatili na mauaji ya wanawake na watoto. Tatizo hili tafiti zinaonyesha linatokana na wivu wa kimapenzi na mfumo dume. Ungana na mwandishi wetu akikuletea repoti kamili juu ya mikakati ya serikali ya Tanzania ikishirikiana na wanaharakati kutokomeza maovu hayo na ushauri kwa wanaume. #wanawake #watoto #serikali #waharakati #mauaji #wivu #mapenzi #ukatili #mauaji #voa #voaswahili #dunianileo #mfumodume - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.