- 23,802 viewsDuration: 4:58Wakazi wa Emurua Dikirr, wanatoa heshima zao za mwisho kwa marehemu Mbunge wao Johanna Ngeno, afisa wa polisi Amos Kipngetich Rotich, Mpiga picha Nicolas Kiplangat Koskei, Wycliff Kiprotich Rono, Robert Kipkoech Keter na Rubani George Were katika shule ya msingi ya Emurua Dikirr. Ibada ya wafu inafanyika katika eneo hilo kabla ya mazishi kufanyika Ijumaa na Jumamosi.