Didmus Barasa: Serikali imesitisha kuagizwa kwa mahindi ya GMO

  • | West TV
    39 views
    Mbunge wa Kimilili ameweka wazi kuwa Rais William Ruto ametoa agizo la viongozi kukubaliana kuhusu suala la kuagiza mahindi ya GMO nchini kwanza kabla ya hatua yeyote kuchukuliwa.