- 21,990 viewsDuration: 4:58Mnamo tarehe 28 Februari 2026, dunia ilitikiswa na taarifa ya kifo cha Ayatollah Ali Khamenei, kiongozi mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za Mashariki ya Kati. Aliripotiwa kuuawa kufuatia shambulio lililolenga makao yake makuu mjini Tehran. Hii ndiyo simulizi ya jinsi tukio hilo lilivyotokea. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw