Rais William Ruto ahudhuria uzinduzi wa kituo cha usambazaji chakula

  • | Citizen TV
    3,458 views

    Rais William Ruto kwa sasa anaongoza uzinduzi wa taasisi ya usambazaji chakula ya kampuni ya Twiga hapa Nairobi. Taasisi hii inafuatia uwekezaji wa kimataifa utakaoimarisha usambazaji bidhaa na hata kushirikisha biashara ndogo ndogo nchini. Mawaziri Simon Chelugui na Moses Kuria pamoja na gavana wa Nairobi Johnson Sakaja pia wanahudhuria hafla hiyo