Skip to main content
Skip to main content

Marehemu mbunge Johana Ng'eno azikwa nyumbani kwake Mogondo

  • | Citizen TV
    3,560 views
    Duration: 2:44
    Marehemu mbunge Johana Ng'eno amezikwa nyumbani kwake mogondo huko Emurua Dikirr. Rais William Ruto aliwaongoza viongozi mbalimbali kufariji familia za watu watano waliofariki kwenye ajali ya ndege. Rais amemtaja Ng'eno kama kiongozi aliyechangia pakubwa maendeleo ya aliowawakilisha.