Wazazi wa watahiniwa waliofariki maji bwawani wadai haki

  • | Citizen TV
    1,008 views

    Familia za vijana wawili waliokufa maji katika bwawa Theta kaunti ya Kiambu sasa wanailaumu shule ya Come Juu Primier kwa vifo vya watoto wao wakidai kutoarifiwa kuhusu safari hiyo. Jamaa za Peter Mwangangi na Russel Macharia waliotarajiwa kufanya mtihani wa darasa la nane leo wanailaumu shule hiyo kwa kuwatelekeza watoto wao, siku mbili kabla ya mitihani yao.