Watu 1,542 walihesabiwa kuwa jinsia mbili kwenye kuwa wa jinsia mbili kwenye sensa ya 2019

  • | K24 Video
    51 views

    Katika sensa ya mwaka 2019 kwa mara ya kwanza, serikali iliidhinisha kutambulishwa kwa alama ya 3 ya watu wa jinsia mbili ambao huzaliwa hivyo. Katika makala ya siha yangu, takwimu za sensa hiyo zinaonesha kuwa watu 1,542 walihesabiwa kuwa wa jinsia mbililakini inakadiriwa kuwa idadi kamili ya watu wa jinsia mbili huenda ikawa zaidi ya hiyo kwani kutokana na unyanyapaa huenda wengi hawakuhesabiwa