- 32,685 viewsDuration: 3:08Mvua kubwa iliyonyesha jijini Nairobi jana usiku ilisababisha maafa na mafuriko makubwa yaliyoathiri maeneo kadhaa ya jiji, barabara kuu zikifurika na wakazi wa jiji la Nairobi wakilazimika kukesha nje kwa kushindwa kufika majumbani kwa wakati. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya