Kenyatta ataka pande zote katika mgogoro wa DRC kuweka silaha chini

  • | VOA Swahili
    1,945 views
    Mchakato wa Nairobi wa kurejesha Amani mashariki ya DRC umeanza kwa awamu ya tatu mjini Nairobi kwa kutatua mgogoro wa mashariki ya Congo mjumbe maalum wa EAC Uhuru Kenyatta aliyekuwa rais wa Kenya amehimiza vikosi vya jeshi la DRC na waasi wa M23 kuweka silaha chini ili kuzuia maafa zaidi. Sikiliza ripoti hii maalum kuhusu hali ya usuluhisho ilivyo katika mgogoro huo… #mchakato #nairobi #amani #suluhu #masharikidrc #awamuyatatu #nairobi #mgogoro #drc #vikosi #jeshi #waasi #m23 #silaha #maafa #mgogoro #dunianileo #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.