Senegal: Fursa ya vijana kutumia eneo la pwani kuendeleza kipaji cha soka

  • | VOA Swahili
    110 views
    Vijana wanaazma ya kukuza vipaji vyao kupitia kandanda ya pwani nchini Senegal, wanataka kuwa wachezaji wa kulipwa na ndio ndoto yao inapoanzia na hatimaye kuingia katika timu ya Taifa ya Senegal. Mmoja wa vijana wanaofanya bidii kukuza kipaji aneleza safari yake ya kandanda akitumia fursa ya soka ya pwani na kueleza changamoto zake. Endelea kusikiliza… #voaworldcup2022 #fifaworldcup #worldcup #qatar #qatar2022 #fifa #football #messi #soccer #ronaldo #futbol #koriyatakudu #southkorea #ghana - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.