- 95 viewsMichuano ya soka inaendelea huko Qatar ambako timu nyingi zinaendelea kuwashangaza wengi. Lakini ni kitu gani ambacho kinafanya watu wapata butwaa katika mashindano haya. Mwandishi wetu aliyeko Qatar Sunday Shomari anaungana na studio za VOA Washington DC, kutuletea yale yanayojiri akieleza timu ya Ghana pamoja na kunyakua ushindi dhidi ya timu ya Korea Kusini bado ilikuwa ikishambuliwa vikali sana. Endelea kusikiliza yaliyojiri... #voaworldcup2022 #fifaworldcup #worldcup #qatar #qatar2022 #fifa #football #messi #soccer #ronaldo #futbol #koriyatakudu #southkorea #ghana - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Kombe la Dunia: Ghana yafanya vizuri, Korea Kusini yaonyesha ushindani mkali
- 6 May 2024 - According to the PS, Lydia Mbotela, a KQ manager working in the DRC, was released after negotiations facilitated by Kenya's Military Attaché and Charge d'affaires.
- 6 May 2024 - Tuya spoke Monday at Nashulai Conservancy Training College in Narok West during a graduation ceremony of 39 Narok County enforcement officers where she was the chief guest at the invitation of Governor Patrick Ntutu.
- 6 May 2024 - In the wake of ongoing floods plaguing various regions across the country, the Ministry of Health is now calling for prioritization of food safety in the face of escalating public health risks.
- 6 May 2024 - Deputy President Rigathi Gachagua on Monday pleaded with governors to support the national government’s bid to transfer the mandate of licensing bars and liquor businesses from county governments to the state anti-drug agency.
- 6 May 2024 - The body of the five-year-old child was retrieved earlier by the police.
- 6 May 2024 - 'Mai Mahiu floods snatched my son from my hands'
- 6 May 2024 - Parents urge state to prioritise rural schools damaged by floods
- 6 May 2024 - Ruto announced that the money is aimed at easing the financial burden and help families in their recovery process, especially those displaced from their houses.
- 6 May 2024 - The victims had been carrying out maintenance work on a sewer system when some of them started to feel ill, according to local media reports.
- 6 May 2024 - Environment, Climate Change and Forestry Cabinet Secretary Soipan Tuya has said the climate crisis facing the country, characterised by heavy rainfall and resultant flooding sweeping across the country, had reached catastrophic levels. "If there was a…