Mkuu wa mawaziri Mudavadi azuru shule ya Kilimani Nairobi

  • | Citizen TV
    979 views

    Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi ana imani kuwa ripoti ya jopokazi kuhusu mtaala wa CBC itatoa suluhu kwa matatizo ambayo yameghubika elimu ya CBC. Akitathmini maandlizi ya mtihani wa KCPE kwa wanafunzi wa darasa la nane na KPSEA kwa wanafunzi wa gredi ya sita katika shule ya msingi ya Kilimani jijini Nairobi, Mudavadi amewapongeza walimu kwa kukamilisha silabasi licha ya kalenda ya masomo kukatizwa na ungonjwa wa COVID 19 kwa mwaka mzima mwaka wa 2020