BBC MITIKASI LEO 29.11.2022

  • | BBC Swahili
    1,211 views
    Ni siku ya pili ya mazungumzo yanayoendelea nchini Kenya yanayolenga kuleta amani katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC. Hata hivyo wawakilishi 80 ya watu kutoka vijiji vilivyohusika na mashambulizi kati ya serikali ya DRC na waasi wa kundi la M23 bado hawajawasili jijini Nairobi, kutokana na changamoto za usafiri. Na Peter Mwangangi #DRC #Qatar #PeterMwangangi #WorldCup