Urusi- Ukraine: 'Nayatamani maisha ya kawaida'

  • | BBC Swahili
    600 views
    Rais wa Ukraine Zelensky amekuwa akiomba msaada kutoka mataifa yote ulimwenguni katika hotuba zake zote za usiku. Sasa mke wake Olena Zelenska pia anachukua jukumu hilo kwa umma. Akizungumza na BBC 100 Women amezungumzia hatua zake kwa umma , ukosefu wa umeme na mambo kuhusiana na jinsi anavyoyakosa maisha ya kifamilia. #bbcswahili #ukraine #urusi