23 Aug 2025 7:11 pm | Citizen TV 31,794 views Duration: 3:15 Maafisa wa polisi jijini Nairobi katika kituo cha Embakasi wanachunguza mauaji ya mwanamke mmoja anayedaiwa kuuawa na mumewe katika moja wapo wa njia katili