BBC MITIKASI LEO 30.11.2022

  • | BBC Swahili
    1,719 views
    Rais wa Kenya William Ruto azindua mfuko wa 'hasla' unaolenga kuwezesha vijana, wanawake na makundi kupata mikopo nafuu. Aidha mazungumzo ya kuleta amani katika eneo la mashariki mwa DRC yameingia siku ya tatu jijini Nairobi, Kenya. Na Peter Mwangangi #DRC #M23 #WorldCup #Qatar #Metro #WilliamRuto #HustlerFund #petermwangangi