Askofu mkuu Kimengich aitaka serikali kuwasikiza wakulima kuhuus vyyakula vya GMO

  • | Citizen TV
    275 views

    Askofu Mkuu wa kanisa katoliki jimbo la eldoret Dominic Kimengich, ameitaka serikali kuwasaidia wakulima wauze mahindi yao kabla ya mahindi kutoka nje kuingizwa na kuuzwa humu nchini.askofu kimengich pia ameitaka serikali kufanya utafiti wa kina kuhusiana na mahindi ya GMO kabla ya kuwasambazia wakenya mahindi hayo.