Wito watolewa kubuni hazina maalum ya walemavu kwa walio na ulemavu

  • | Citizen TV
    212 views

    Idadi ya watoto wanaoishi na ulemavu waliotekelezwa imeongezeka katika kaunti ya Trans-Nzoia, huku mashirika mbalimbali yakiitaka serikali kukaza sheria ya kuwalinda watoto hao, pamoja na kuanzisha hazina maalum ya kuwashugulikia