BBC MITIKASI LEO 01.12.2022

  • | BBC Swahili
    2,245 views
    Rais wa Rwanda Paul Kagame amemshutumu rais wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Felix Tshisekedi kwa kujaribu kutafuta njia ya kuahirisha uchaguzi ujao kwa kuihusisha Rwanda katika mgogoro wa mashariki mwa Congo. Wapelelezi wa Umoja wa Mataifa wamelaumu Uganda na Rwanda kwa kuwa na uhusiano na kundi la waasi wa M23, lakini Rwanda imekanusha vikali madai hayo. Aidha Rwanda imekanusha madai kwamba imekuwa ikipora madini kutoka Congo. Na Peter Mwangangi. #Kagame #Tshisekedi #DRC #M23 #PeterMwangangi #PaulKagame #FelixTshisekedi #WilliamRuto #HustlerFund