BBC MITIKASI LEO 02.12.2022

  • | BBC Swahili
    826 views
    Msemaji wa serikali ya DR Congo, Patrick Muyaya, amesema kuwa rais wa Rwanda Paul Kagame "hana haki" ya kutoa maoni kuhusu uchaguzi nchini DR Congo. Muyaya alikuwa akijibu matamshi ya Jumatano ya Kagame ambaye alidai kwamba rais Felix Tshisekedi anajaribu kutafuta njia ya kuahirisha uchaguzi wa mwaka ujao. Na Peter Mwangangi #KombeLaDunia #Ghana #Cameroon #Brazil #Urugay #WorldCup #PaulKagame #FelixTshisekedi #DRC #M23 #congo #PeterMwangangi