- 341 views
Kitengo cha dijitali cha kampuni ya Royal Media Services kiliibuka bingwa kwenye tuzo za shirika la masoko -MSK- za mwaka huu, baada ya kujizolea tuzo ya uvumbuzi kwenye sekta ya habari. Hii ni mara ya pili kwa kitengo cha dijitali cha RMS kutuzwa, mwaka moja tu baada ya kuzinduliwa oktoba mwaka jana. Katika hafla iliyoandaliwa na Msk gala na ambayo iliaandamana na maadhimisho ya miaka 60 ya shirika hilo. Miamba wa mauzo pia walitambuliwa na kuzawadiwa kwenye hafla hiyo. Wengine waliotunikiwa walikuwa ni pamoja na kampuni za Kenya Wine Agencies Ltd, EABL, Coca Cola, GA Insurance na SCANAD miongoni mwa mengine
Kitengo cha dijitali cha RMS chazoa tuzo ya uvumbuzi ya MSK
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- 7 May 2024 - Rescue efforts were underway after three people were killed and dozens remained trapped after a multi-storey building under construction collapsed in the South African city of George.
- 7 May 2024 - As India votes in a six-week general election, Narendra Modi's image adorns everything from packs of rice handed out to the poor to large posters in cities and towns.
- 7 May 2024 - Two Kenya Airways staff who were detained by military authorities in Kinshasa, DRC, have been released.
- 7 May 2024 - African countries have some of the most prohibitive laws against homosexuality in the world.
- 7 May 2024 - Some of the areas will record temperatures below 10 Degrees Celcius.
- 7 May 2024 - Mr John Waweru was earning between Sh2,000 and Sh10,000 a day showcasing his nails
- 7 May 2024 - Proposed legislation fails to address key issues faced by widows in the county, needs revision
- 7 May 2024 - The harsh reality of rebuilding lives and homes is slowly setting in.
- 7 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Without applying statistics and principles of behaviour, it outright feels off when an alcohol-dispensing outlet is located near a learning […]
- 7 May 2024 - Mung'aro rescinds decision to move Shakahola bodies