BBC MITIKASI LEO 05.12.2022

  • | BBC Swahili
    1,276 views
    Majadiliano kati ya wawakilishi wa serikali ya Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) pamoja na wawakilishi wa makundi ya waasi katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo yanatarajiwa kukamilika hii leo Jumatatu. Aidha jeshi la Sudan latia saini makubaliano ya kurejesha nchi katika utawala wa kiraia. Na Hamida Abubakar #Sudan #DRC #M23 #GLENCORE #HamidaAbubakar #Ramaphosa