SerikalI ya Trans Nzoia kushirikiana wamiliki wa Hoteli kuimarisha Utalii

  • | West TV
    20 views
    Serikali ya Trans Nzoia imeanzisha juhudi za kushirikiana na wamiliki wa hoteli katika kaunti hiyo ili kuimarisha sekta ya utalii katika kaunti hiyo.