- 62 viewsUshirika unaounga mkono demokrasia nchini Sudan wa Forces of Freedom and Change umesaini makubaliano ya awali na jeshi ili kurejesha utawala wa kiraia baada ya mapinduzi ya mwaka jana. Makubaliano haya yanaruhusu uongozi wa mpito wa kiraia wa miaka miwili kuelekea uchaguzi mkuu. Lakini maandamano ya kupinga makubaliano hayo yameanza katika mji mkuu, Khartoum, na mengine zaidi yanatarajiwa nchi nzima, huku watu wakitaka wale walioongoza mapinduzi wawajibishwe. Sudan imeingia katika ukosefu wa uthabiti wa kisiasa kwa karibu miaka minne baada ya rais Omar al-Bashir kuondolewa madarakani kufuatia maandamano ya umma. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Muungano unaopendelea demokrasia wasaini mkataba wa serikali ya mpito ya kiraia
- 12 Jul 2025 - The Kenya National Highways Authority (KeNHA) has announced a temporary traffic disruption on Mombasa Road near Syokimau Railway Station to allow for the installation of the fabricated footbridge beams of the Syokimau Railway Footbridge.
- 12 Jul 2025 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has dismissed Orange Democratic Movement (ODM) leader Raila Odinga's proposal for a national dialogue to solve the country's challenges, arguing that the ODM leader has engaged in such talks in the past without…
- 12 Jul 2025 - The motorists termed Ndung'u and Kandie's resignations as 'deeply concerning' and 'sudden'.
- 12 Jul 2025 - Clinicians in Machakos County have officially called off a planned strike just two hours before its scheduled commencement, which was to start at midnight on Saturday.
- 12 Jul 2025 - Nyachae had previously been shortlisted to become the new chair of the IEBC.
- 12 Jul 2025 - Iranian authorities carried out on Saturday a public execution of a man convicted of raping and murdering a young girl, the judiciary said.
- 12 Jul 2025 - There was no proof of the allegations that the land was a road reserve or public property.
- 12 Jul 2025 - The maintenance exercise will take six hours from 4am to 10am.
- 12 Jul 2025 - The cop went viral for criticising CS Murkomen for urging police to shoot violent protesters looting people's properties.
- 12 Jul 2025 - Julia Njoki was arrested on July 7 during nationwide protests against police violence and government corruption, held on the anniversary of Saba Saba Day, which commemorates Kenya’s struggle for multi-party democracy.