BBC MITIKASI LEO 06.12.2022

  • | BBC Swahili
    1,392 views
    Hatimaye mazungumzo ya kuleta amani katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC yamekamilika jijini Nairobi, Kenya. Wahusika katika mkutano huo wameafikiana kuachiliwa huru kwa wafungwa wasiokuwa na hatia, pamoja na watoto wanaohusika katika vita. Aidha serikali ya DRC itasaidia jamii zilizoathirika kujisimamia kiuchumi, kupitia kuhusishwa zaidi katika sekta ya madini pamoja na juhudi za uhifadhi wa wanyama na mazingira. Na Peter Mwangangi #DRC #UhuruKenyatta #FelixTshisekedi #SergeTshibanguNzenza #Korosho #Cashews #Tanzania #Mtwara #PeterMwangangi #Mwani #SeaWeed #KelpBlue #Namibia #Luderitz