BBC MITIKASI LEO 07.12.2022

  • | BBC Swahili
    1,122 views
    Waasi wa M23 katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamesema wako tayari kujiondoa katika maeneo ambayo wanayashikilia kwa kuzingatia maazimio ya mkutano wa mwezi jana uliofanyika katika mji mkuu wa Angola, Luanda. Kundi la M23 pia limeomba kukutana na Jeshi la Kanda ya Afrika Mashariki pamoja na wasuluhishi wa mchakato wa amani unaoongozwa na viongozi wa kanda hii. Na Peter Mwangangi. #M23 #DRC #Africa #PeterMwangangi #KombeLaDunia #WorldCup #NetherlandsVsArgentina Netherlands vs Argentina Cavaliers vs Lakers Bangladesh vs India Georgia Senate Race Portugal vs Switzerland