- 266 viewsTanzania: Mwanamke aliyefiwa na mumewe na anajukumu la ulezi wa watoto watatu na akiwa mjamzito anaeleza ukandamizaji unaoendelea dhidi ya wanawake katika jamii. Ni kama ilivyo kwa wanawake wengine wanaofikwa na janga la kudhulumiwa urithi hakuambulia chochote katika urithi wa mumewe. Anaeleza tuhuma anazoelekezewa mwanamke wakati anapotaka kufuatilia haki zake, na hivyo kumfanya asiweze kuchukua hatua yoyote. Ungana na mwandishi wetu wa Dar es Salaam Idd Uwesu akifanya mahojiano maalum na mwanamama huyu na kueleza yaliyomfika na mengi mengineyo.. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Tuhuma anazorushiwa mjane anapojaribu kudai urithi wa mumewe
- - LIVE| NEWS NOW ››
- 19 May 2024 - Hundreds of protesters in Peru's capital marched on Friday to demand the scrapping of a new law that describes transgender people, among others, as having a mental illness so they can access health benefits.
- 19 May 2024 - Israeli troops and tanks pushed on Saturday into parts of a congested northern Gaza Strip district that they had previously skirted in the more than seven-month-old war, killing and wounding dozens of Palestinians, medics and residents said.
- 19 May 2024 - Slovakia's health minister said Saturday the prognosis for Prime Minister Robert Fico was "positive" after an assassination attempt as a court put the suspected gunman in pre-trial detention.
- 19 May 2024 - Hundreds of residents from Cheptigit village in Kerio Valley will spend the night in the cold after the Kenya Wildlife Service (KWS) embarked on the demolition of houses for what it terms as encroachment.
- 19 May 2024 - CA pushes for Sh88.5b nation-wide broadband
- 19 May 2024 - Kabarak, FKE unite to bridge industry gaps
- 19 May 2024 - Ruto allies accuse leaders of tribalism over Limuru 3
- 19 May 2024 - New Eco Levy threatens Kenya's green future and jobs, say experts
- 19 May 2024 - Gachagua expected to fight back after week of silence amid attacks
- 19 May 2024 - Police probe fatal shooting incident over market space dispute