Rais Ruto asema serikali itaendelea kufadhili elimu ya juu

  • | Citizen TV
    802 views

    Rais William Ruto hii ametoa wito kwa vyuo vikuu nchini, kuzingatia ushirikiano na sekta ya kibinafsi ili kuongeza mapato. Akizungumza katika mahafali ya chuo kikuu cha Masinde Muliro kaunti ya Kakamega, Ruto alitoa hakikisho la serikali kuendelea kutoa ufadhili kwa vyuo vikuu ili kuimarisha shughuli za utafiti