BBC AFRICA EYE: Uhusiano ulipo baina ya uhalifu na umasikini wa jijini Zinder nchini NigerBBC

  • | BBC Swahili
    445 views
    Makala ya BBC Afrika eye imechunguza uhusiano ulipo baina ya uhalifu na umasikini wa jijini Zinder ambalo ni la pili kwa ukubwa nchini Niger Magenge ya uhalifu hapa yanaishi kwa kufanya vurugu za mara kwa mara na kujinifaisha kutokana na biashara haramu ya mafuta ya petroli, na kutokana na umasikini wa kupindukia polisi hawana nguvu na swali linasalia je vijana wadogo wanaweza kutoroka masaibu haya ambapo ni kawaida magenge haya kupigana kwa sababu mbali mbali mfano kisasi,pes ana hata wanawake. Eagan Salla anasimulia. #bbcswahili #bbcafricaeye #niger