Watumia dawa kuongeza uzito wa mwili

  • | BBC Swahili
    2,144 views
    Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa 18.4% ya wanawake katika bara la Afrika wanaishi na unene uliokithiri. Hata hivyo, baadhi ya wanawake wa Kisomali, kama Maryam, wanatumia dawa aina ya Dexamethasone ili kuongeza uzito - dawa ambazo hazitakiwi kutumika kwa kazi hiyo. Alisema baadhi ya madhara aliyokumbana nayo yalimfanya apate kizunguzungu na kushindwa kutembea. MMtengenezaji dawa hiyo anasema ‘inapaswa kutumika tu…chini ya usimamizi wa mtaalamu wa afya’ #bbcswahili #100women #wanawake100bbc