The Giant Julius Charles: Mtanzania anayevaa viatu vya 'size' 18

  • | BBC Swahili
    3,262 views
    Huu ni mfufulizo wa video zetu zilizofanya vizuri katika miaka ya hivi karibuni ikiwa tunaelekea mwisho wa mwaka . Leo tunaanza na The Giant Julius Charles, Kijana wa Kitanzania ambaye watu humshangaa kutokana na urefu wake Je ana mke na watoto ? Kitanda chake kinatoshana vipi? Anapenda kula nini? Na mlango je ? Ungana na mwandishi wetu Frank Samfrod kufahamu mengi zaidi kuhusu maisha ya kijana huyu mwenye vipaji lukuki. #bbcswahili #tanzania #mtumrefu