- 18,413 viewsDuration: 2:33WABUNGE WA MRENGO WA KENYA MOJA WANAOONGOZWA NA SENETA WA NAIROBI EDWIN SIFUNA SASA WANAMTAKA RAIS WILLIAM RUTO KUWEKA WAZI NIA YAKE KATIKA VITA DHIDI YA UFISADI. WABUNGE HAO WANAMNYOOSHEA KIDOLE RAIS NA KUTAJA MATAMSHI YAKE KUWA YA KUTISHA BUNGE ILI KUWAKINGA MAAFISA WA SERIKALI WANAOHUSIKA NA UFISADI