BBC MITIKASI LEO 20.12.2022

  • | BBC Swahili
    1,738 views
    Na Hamida Abubakar. YALIYOMO: Tunamuangazia kijana kutoka Gabon aliye na uzoefu wa kuunyoosha na kuupinda viungo vya mwili wake. Kisha tunazungmza na msani kutoka Tanzania Barnaba Classic.