Simulizi za wasichana wa mitaa duni Nairobi wanaouza ngono

  • | K24 Video
    152 views

    Umaskini na uchu wa mapenzi katika makazi duni ya dandora na korogocho, kaunti ya Nairobi, huwalazimisha wasichana wadogo kujihusisha na ngono za mapema na baadaye kuambulia kuavya mimba kwani hawawezi kuwatunza watoto wao. Kutokuwa na upatikanaji wa mahitaji ya msingi huwasukuma wengi kwenye biashara ya ngono kama njia ya kuishi. Wengi wako katika hatari ya magonjwa ya zinaa