Duniani Leo 01/27/2023: Washirika wa maendeleo waahidi kuwekeza $ bilioni 30 Afrika

  • | VOA Swahili
    4,909 views
    Washirika wa maendeleo wameahidi kwa pamoja kuwekeza dola bilioni 30 katika utekelezaji wa mikataba ya Afrika, utoaji wa chakula na kilimo katika kipindi cha miaka mitano. #voa #voanews #dunianileo #maendeleo #afrika Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari