26 Aug 2025 2:03 pm | Citizen TV 327 views Duration: 3:01 Exotica FC kutoka samburu Mashariki ndio mabingwa wa kombe la wakfu wa nadome,baada ya kuwanyuka huruma FC kutoka baragoi mabao manne kwa tatu kupitia mikwaju ya penalti.