26 Aug 2025 1:51 pm | Citizen TV 1,071 views Duration: 2:31 Viongozi wapya wa chama cha ODM kaunti ya Kisii wamewahakikishia wanachama na wenyeji wa kaunti ya Kisii kwamba wako tayari kuhakikisha kuwa eneo la gusii litasalia kuwa ngome ya chama hicho kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027.