26 Aug 2025 1:37 pm | Citizen TV 500 views Duration: 3:13 Serikali imetakiwa kusaidia jamii zinazoishi katika maeneo ya wafugaji kujenga makanisa ili kuimarisha maadili pamoja na kuendeleza elimu katika maeneo hayo.