26 Aug 2025 1:26 pm | Citizen TV 2,046 views Duration: 4:03 Wenyeji wa vijiji vya kote na kbc katika kaunti ya tana river wanalalamikia uharibifu wa mazingira unaotokana na shughuli za uchimbaji madini ya jasi.