26 Aug 2025 1:15 pm | Citizen TV 2,314 views Duration: 2:13 Rais William Ruto amepongeza mtandao wa maendeleo wa Aga Khan kwa mchango wake mkubwa katika sekta za afya, elimu na mazingira nchini.