Skip to main content
Skip to main content

Mbunge wa Turkana Kaskazini achaguliwa mwenyekiti wa chama cha ODM

  • | Citizen TV
    210 views
    Duration: 1:22
    Mbunge wa Turkana kaskazini Shariff Ekuwom Nabuin amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama cha ODM kwenye Kaunti ya Turkana katika chaguzi za mashinani za chama hicho kilichofanyika Lodwar